Skip to main content

Home

AML FINANCE LIMITED

Welcome! We can help to finance your business

Financing Access For - All

Fast | Reliable | Trustworthy

APPLY TODAY

Loan Requirements

Nyaraka Muhimu za kuomba mkopo AML FINANCE LIMITED

AML FINANCE LIMITED ni taasisi ya kifedha inayodhamini kutoa huduma bora ya mikopo kwa muda mfupi kuanzia siku 2 hadi 3 baada ya kuwasilisha maombi ya kukopa na nyaraka muhimu ili kurahisisha maombi ni vizuri mteja akaandaa na kuleta nyaraka zifuatazo na maombi ya mkopo.

Mahitaji Mkopo wa Biashara /

Business Loan Requirements

  • Taarifa ya Bank (Bank Statement) Miezi 12.
  • Picha za Mteja (Passport size).
  • Vitambulisho vya Mteja.
  • Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa anaokaa mteja na Dhamana.
  • Nyaraka ya Dhamana (Hati ya ardhi/nyaraka za gari).
  • Cheti cha ndoa kwa wanandoa au kiapo kwa wasio na ndoa.
  • Ada ya mkopo (2% ya mkopo).
  • Barua ya mdhamini, passport size, kitambulisho kutoka Serikali ya Mtaa anapoishi mteja.
  • Bill ya Maji,/ risiti ya LUKU au mkataba wa pango kwama amepanga.
  • Kutembelewa nyumbani na ofisini.
  • Azimio la Bodi ya Wakurugenzi la kukopa.
  • Taarifa ya kifedha (Financial Statement) za miaka 3.
  • Nyaraka za usajilimwa biashara (Leseni, TIN, Cerificate n.k).

Mahitaji Mkopo wa Wafanyakazi /

Salary Based Loan Requirements

  • Taarifa ya Bank (Bank Statement) Miezi 12
  • Picha za Mteja (passport size)
  • Vitambulisho vya Mteja
  • Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa anaokaa mteja na Dhamana
  • Nyaraka ya Dhamana (Hati ya ardhi/nyaraka za gari)
  • Cheti cha ndoa kwa wanandoa au kiapo kwa wasio na ndoa
  • Ada ya mkopo (2% ya mkopo)
  • Barua ya mdhamini, passport size, kitambulisho kutoka Serikali ya Mtaa anapoishi mteja
  • Bill ya Maji,/ risiti ya LUKU au mkataba wa pango kwama amepanga.
  • Kutembelewa nyumbani na ofisini
  • Mkataba wa kazi
  • Barua ya Maombi ya Mkopo
Clients Testimonials

What they are saying

Get in Touch

Contact with us for any information

Address

Tanzanite Tower, 5th Floor, Mwenge, Dar es Salaam

Phone

+255 677 700 330

Email

info@amlfinance.co.tz

About Us

AML Finance Limited, We are a limited liability company seeking to provide financial services to the upper end SMEs business entities and salaried employees in Tanzania.

Featured Posts

Contact info

AML Finance Limited, We are a limited liability company seeking to provide financial services to the upper end SMEs business entities and salaried employees in Tanzania.