
Home

We're providing Salary Based Loans
Unsecured loans will be provided to Government salaried employees for personal financing needs, supported by confirming remittance commitments from Treasury.

We provide Business Loans.
Business Loans are considered short-term financial services to individuals or companies needing immediate cash for their registed business.

Mahitaji Mkopo wa Biashara /
Business Loan Requirements
- Taarifa ya Bank (Bank Statement) Miezi 12.
- Picha za Mteja (Passport size).
- Vitambulisho vya Mteja.
- Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa anaokaa mteja na Dhamana.
- Nyaraka ya Dhamana (Hati ya ardhi/nyaraka za gari).
- Cheti cha ndoa kwa wanandoa au kiapo kwa wasio na ndoa.
- Ada ya mkopo (2% ya mkopo).
- Barua ya mdhamini, passport size, kitambulisho kutoka Serikali ya Mtaa anapoishi mteja.
- Bill ya Maji,/ risiti ya LUKU au mkataba wa pango kwama amepanga.
- Kutembelewa nyumbani na ofisini.
- Azimio la Bodi ya Wakurugenzi la kukopa.
- Taarifa ya kifedha (Financial Statement) za miaka 3.
- Nyaraka za usajilimwa biashara (Leseni, TIN, Cerificate n.k).

Mahitaji Mkopo wa Wafanyakazi /
Salary Based Loan Requirements
- Taarifa ya Bank (Bank Statement) Miezi 12
- Picha za Mteja (passport size)
- Vitambulisho vya Mteja
- Barua ya Utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa anaokaa mteja na Dhamana
- Nyaraka ya Dhamana (Hati ya ardhi/nyaraka za gari)
- Cheti cha ndoa kwa wanandoa au kiapo kwa wasio na ndoa
- Ada ya mkopo (2% ya mkopo)
- Barua ya mdhamini, passport size, kitambulisho kutoka Serikali ya Mtaa anapoishi mteja
- Bill ya Maji,/ risiti ya LUKU au mkataba wa pango kwama amepanga.
- Kutembelewa nyumbani na ofisini
- Mkataba wa kazi
- Barua ya Maombi ya Mkopo